【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Wa mwache mbona watu wanasifu
Asomeshwe
Mpeni Nafasi na ikiwezekana mkamsomeshe kabisa asee,mliowaajiri wakipew operetaion wafanye ya kichwa wanafany ya mguuu huyo jamaa ajafata sheria lakn ni Dokta hakika
Ahaaa watu wanamsifu Tena balaa hii
Anaonekana yuposafi wampatie tu vibali jamani😊😊😊
anatoa mimba watu huyo wala msimtetee,hata kama anatoa huduma lakn bado kuna huduma hakupaswa kufanya
Apewe ajira
Anatia huruma japo kafanya makosa na anapenda kazi ya udoctor angeenda kusomea hayo mambo bahati mbaya kachelewa
Sasa izo dam si kwaajili ya vipimo acheni roho mbaya km anasaidia apewe kibali hospital za vijijini huduma ni mbaya mno
Mpeni kibali baba wa watu mbona mtaalamu mzuri tu 😅
Huyo ni docter msaidieni tu kumuendeleza
TATIZO KUBWA SELIKALI IMEZIDI GARAMA ZA HUDUMA NDO MANA WANAWAFATA WATU KAMA HAWA
Tufike hatua tujue namna nzur ya kutatua matatizo busara na hekima,utaalamu anao na ni daktari mzur na anatufaa Kwa jamii zetu za kiafrika jambo zur ni kumlasimisha awe doktor
Mmmmmh atakua kashauwa watu wengi uyu😢😢
hao wenye vibali ndo wanaongoza kutoa mimba na hawakamatwi
Huyu usikute ni mganga kabisa hata kwetu tulikuwa tunaenda kwa Mwakwembe Kyela lakini kafa kaka yake Mwakwembe alikuwa anatibu vizuri tu na tena nyumbani alikuwa karibu na hosptali pia
Astaghafirullah
Pole yake mie naona ni njaa ndio imemponza
Msaidieni kumpatia kibali anasaidia watu
Jamaa yuko vizuri
Serikali kama ni sikivu watakaa nae waone jinsi ya kuendelea kuwasaidia wayu maana inaonekana anatoa huduma safi kabisa