【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Alowatibia wanajivunia jamaa anaonekana anakitu cha ziada wamwangalie ❤
Yuko vzr selikali achen mambo yenu hebu muachieni afanye kazi
Fanyeni Tathimini tu lakn kiukweli vituo vya afya vimejengwa na havina misaada inayoeleweka, Ni bora daktari fake kuliko mwenye vyeti na hajui wajibu wake
Ushauliwangu naomba mpeni kibalu haendelee na KAZI wengine wapo kazini lakini awanaujuzi
Mpeni elimutu sio kuchukua hatua
Nass wanawake tunapenda kutoa mimba mbona munamuonea
Aachepombetu muelimisheni
Yuko vizur kama watu wanashuhudia kuwa wanapona!
Sasa ndo kumfata na bunduki😂😂😂😂
Watu kama wamepata huduma kuliko nyie uko kwenu kwenye siasa na rushwa juu nongwa ya nini
Afu anasema mwaka wa18 haogop anajiamin
Mumuache atunze watu bwana
Paulo
Masaai Hajaenda Shule Ila Anauza Dawa Tena anasema Zinatibu magonjwa Yote😂😂😂 Ila serikali bhna.
Comments za wagojiwa jamaaa yuko fresh… ila tuu vibali
Mpen kibali sasa angekuwa anauwa sawa mpen maua yake 🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥 doctor mpen kibali tuuuu
Hiyo jamaa aendelezwe kipajichake anasaidia Sana watu.
Waganga wa jadi mbona wanavibali wakati waongowaongo tu, mpeni kibari
Wasomi wasomaji kweli, kama ni mtu anataaluma yake aboreshewe mazingira na sio kuchimbia kipawa chake.
Uyu jamaa mnafiki uenda ana kihospital chake watu awaendi kwake anamletea mwenzie unafiki, mtu anasaidia watu tatizo nn, izo hospital za serikali pia zina madocter feki,