【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Kapelekwa police kufanya nn,ikiwa waliotibiwa wote wanamkubar mwamba.
Hivi jamani nyie mnaemsupport huyu jamaa mnaelewa kweli madhara yanayotokea ,risk ya kupata maambukizi ya maradhi mbalimbali . Bomba za sindano zina damu, vifaa anasafisha wapi, wagonjwa wanaozidiwa Kama dharura anawafanyaje
Serikali kama Serikali wanamajengo ya hospital lkn hawana hospital
Yuko vizuri wamuache
Kwani alishawai kutolewa mashtaka ya kumdhuru mtu au ndo uchenjeu tu waaangalie na vipaji vya watu
Mama ana fanya kazi na ana saidia wananchi na WANAPONA sasa wana mkamata wa nini
Mpeni kazi serikali huyu ni doctor❤
Pamoja na kuvunja Shelia lakin ni bado ameweza kuwasaidia na wakapona ivo no mtu mwenye uwelewa zaidi mpeni nafas kishelia aenderee kutoa huduma
Dunia simama nishuke
Huyo anasaidia watu! Vzr na ndiyo maana mpaka hapo hajaua mtu.
Huyo ni Dkt mimi mwenyewe naushuhuda miaka ya 1968 kulikuaga na wakunga vijijini ambao hawajasoma ila walikuwa wanazalisha wa mama wajawazito hata chanjo hazikuwepo mimi mwenyewe sina chanjo ya ndui wala polio Mama yangu alinizaa akiwa peke yake akanikata kitovu akanifunga hadi leo Mungu ananisaidia niko poa na mama yangu yupo mzima wa afya anamiaka 80, huyo mpelekeni shule akaongeze ujuzi wala siyo kumuweka ndani endelezeni kipaji chake bana
mmmmh!
Huyu asaidiwe aongezewe elimu amesaidia watu walishindikana ikonda
Huyu sio wa kumfunga, mpeni elimu aendelee na kazi. Maana anaonekana anafanya kazi nzuri na anasaidia wananchi
Hana cheti lakini ana uwezo ,Kuna mwenye cheti lakini uwezo ni hafifu ,Kuna anafanya kazi kwasababu kasomea lkin this man it shows has something hidden na akipatiwa mafunzo ipasavyo atakuwa tunu kwetu
He’s talent an inborn ability obviously needs to be recognized
Mnazingua Tu iyo ni fitna Nani aliyekufa au kuathirika na huduma zake bhana
Daaa mimi nina maoni binafsi. Japo ni kweli mtuhumiwa amekamatwa lakini kitendo cha kutoa maelezo ya kila kitu ni kujitia mwenyewe kitanzi, kuomba msaada wa mwanasheria wakati wa sehem kama hio ni jambo la msingi sana, japo kutokana na mazingira halisi ya hapa nyumbani ni ngumu. Ila nadhani nimeeleweka kwa kiasi kidogo. Asanteni
Mhu
Sasa badala ya kumpa suport, na kumpa elimu zaidi ili aendelee kusaidia watu, wao wanamfungulia kesi. Lkn Masai asokuwa na elimu yuko mtaani anatibu na dawa feki.
Kwa shuhuda zao wenyewe, kuna madakitari wameshindwa kuwatibu hao, ila huyo kijana kaweza. Sasa ni vizuri, akafanyiwa utaratibu, hata wa kuajiriwa, au kusaidiwa kusajili Kituo chake Cha huduma, ili aendelee kuhudumia wananchi chini ya uangalizi.
Ndo vipaji vyenyewe hivi, kama yeye hajaenda shule
Vipaji c kukimbia tu kama nyumbu, au tiba feki kama Babu wa loriondo. Na haviishii kwenye mziki kama diamond.
Hata walogundua ndege, aspirin etc ni vipaji
Hii nchi hii,
Pombe itoke kichwani