【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Tabia hui ya kufanya KAZI kama Dr Nils cheti NI marufuku Dunia nzima
Bila cheti NI marufuku
Apewe ajira
Miaka kumi na nane(18) hapo zaidi ya doctor alietoka chuo
kweli amekosa apewe elimu na onyo Kisha aendelezwe ili awape watu huduma katika ubora unao takiwa
Huyu jamaa ni mwelewa ila serikali yetu ndo ivo
Jamani ndo mara ya kwanza nasikia damu inatolewa hospital na anapewa mgonuwa yeye mwenyewe vituko Kwa kweli dunia imeisha!
Sasa kama mtu anauwezo wakuhudumia watu mpaka watu wanampenda kwann mkamate
Huyu kasoma Hana kazi! Wamwachie huru na kumpasaport afanye kazi kwa utaratibu,, acheni Hila watanzania tunaona maonevu haya
Hiyo ya kwanza ni spong holding forceps. Unaye mhoji uko sahihi.
https://youtu.be/IC1nxX7sy9I( sifa za kula nyoka wa kijana ndotoni bonyeza link hii usikie)
Apewe elimu maana mashuhuda wanakili kuwa anasaidia watu,mganga mkuu nae anavyoeleza kakaa kionokounoko
Kumbe na watu wanamsifia Kabisa Apewe Elimu Zaidi Ili azidi Kufanya Vizuri ni kipaji Kutoka Kwa Mungu
Watu wamesoma wanamidigrii kibao na wenye vipaji kama hvyo amtaki kuwapa ajira mnaowaajili hat awapaform vizuri unakuta mtu kaajiliw kisa ananduguyake selikarin
Wana taka hela t haoo umbwa
Tuache yote hayo iyo ni taaluma apewe ajilra tuache siasa hata kama Hana vibari Hana uwezo wa kufungua dispensary Tu tatizo mashert ni magumu tu kiendelezeni kipaji hicho kwa kumpa ajira wapo wengi wa Aina iyo vijijini.
Tukumbuke kijana majaliwa aliokoa watu kwenye ile ajali ya ndege na hakuwa na taaruma ya uokoaji mlichokifanya mlimpatia mafunzo kwenye jeshi la uokoaji haya na uyu je? hatuoni alichokifanya? wanakijiji wametoa ushahidi hapo anawasaidia sana tusiwe na ubaguzi .