【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Na hadi kukamatwa kwake inaonekana ni vigisu tu vya hawa madactari wenzake wanamchongea maana inavoonekana hata damu anachukua anaenda kufanya vipimo katika hispitali hizo hizo za kwao huyu sio bure lachomwa tu na mmoja mwenye wivu
Ugumu wa maisha ndiyo chanzo cha yote hayo.
Dah msaada unatoka wanakijj wanakosa huduma
Jamaa anapiga kazi nzuri angalieni namna ya kum-suport tu serikali Kuna vijiji havina madaktar wenye uwezo kama Hawa,,,,lkn pia wapo wenye vibari na wanatoa watu mimba na hawakamatwi… halafu jamaa anatoa maelezo vzr kabisa,pia wagonjwa wanapewa huduma nzuri tu
Hebu mwacheni mbona madaktari hospital mnatoa watoto wetu mimba
Punguzeni gharama za matibabu huko mahospitalin
Huyu ni mtalamu kabsaaa hebu mwacheni
Atakama Hana vet anaweza
Huyo mtu tunamuombea msamaha maana Kama wananchi wenyewe kuwa anatibu vizuri na wengine wanatibiwa sehemu nyingine hawponi wanahangaika Ila kwake Wana pona msameheni msaidini apate vibali aendelee na tiba maana wananchi wa eneo hilo wamemkubali
Apewe kazi yupo vzriii kabisaaa
Wa Tanzania kwskutete ujinga sijuikwanini huyo hatakua kaiwasana watoto namkimpigahuyo ayasemakweri mshenzituhuyo
MPE KIBALI, MSIMFUNGE, MPENI NA ELIMU SAHIHI, KWA SABABU WALIOPEWA UDUMA WOTE KAWAPONYESHA KUTOKANA NA MAELEZO YAO. MSAMEHENI HUYU TAFADHALI
Ni kweli tusitetehe ujinga ila tuombe serekali iwasaidie awa watu wenye vipaji maalumu uyo sio mtu wa kufunga ni mtu wa kuweka sekita maalumu kama makofuli alivyo kuwa anarasimisha watu walio patia vipaji pembeni
Watuwengi sana wamepona kupitia yeye mi pia ni shuhuda
Ushauru wangu kwa wenye mamlaka watu kama Hawa wenye vipaji waonywe kisha wasaidiwe kukuza vipaji vyao maana ni tunu kubwa kwa taifa
Serikali muna hospital kila kona ila huduma zenu mbovu tena mnakera kazi yakujaza maforeni ata chamaana akuna ndio maana akitokea mtu anasaidia wananchi wanaenda kujazana
Mpeni kazi huyo
Anafaa apewe ajira huyo
Na wewe unawatoleaga umejuaje kama ni kifaa cha kutoka mimba mkaachaga looooo achaa mbambaa weweeee
Achen kutafuta vyeo…yupo poa tu akitoka nitakuja anihudumie