【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Ukiwa na stress somo comments. Zinaondoka zenyewe🤣🤣🤣
Kazi ya polisi ni kumshika mtuhumiwa ila kuuliza maswali ni kazi ya kotini.
huyo ndiye mwenyewe kabisa.
mtengenezee mazingira wezeshi tu.
kwa taarifa yenu hapo hata Mganga mkuu huyo hafui dafu.
si unaona cha kusafishia vidonda Mganga mkuu anasema cha kutolea mimba ?
sasa hapo Daktari mkuu na Daktari nani Daktari ?🤔😀
sema Raia nao ma snitch sana.
mnakuja na mabusha yenu anawatibu halafu mnamchoma
Mpeni kaz huyo, mbona kahudumia miaka mingi na watu wanapona
Usikute ..maeneo hayo hakuna hata huduma za afya 😨
All in all kujua sheria si sababu ya kuvunja sheria.. Tuongeze vituo vya huduma za afya nchini
jamaa apelekwe shule kabisa ,,kama kaweza kutoa huduma ya afya miaka 18 na watu wako fresh anaweza kuwa dk
Kumbe ni daktari mzuri kabisa nawatu Wana pona inabd wampe kibali tu
Huyu anatakiwa aachiwe na apewe vibali aendelee na kazi yake
Afrika unafungwa badala. Ya kukupa elim
Atakua alikua anapiga hela sana na hy njombe ilivyo na baridi sasa
Mpeni tu kazi lasmi
Hivi yule mzee maretuu wa arusha alikuaga ni dr?
😂😂😂nimeipend hiii
Huyo mganga mwenyew…kichwa kma kiaz..
Nipeni hicho kifaa cha kuchungulia ukeni basi.
Nasemaje apewe kibali afanye kazi watu wanaimani nae
Ma daktari proffesional wapo na kazi hawafanyi uyoo katibia watu na wanashuhudia wamepona kama uyo aliyeambiwa ata akienda muhimbil hatoboi. Lakin bado mnamkamata kwel nchi hii kikubwa uhai tu
Unajua tatzo ni kwamba amekutwa na vifaa vya kutoa mimba hlo ndo kosa tu kama angekutwa na sindano peke yake ingekua hakunq tatzo….. ila jamaa anakitu atafika mbali amesaidia watu serikali imuangalie
Yuko vizuli sana aisee kazinzema mkuu
Hata reonadi huwa anasema nikilewa mniache 😅,sasa na huyu muacheni kidogo ili siishe akatoe maelezo mazuri mbele,maana pombe sio chai wenzangu.