【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Msaidieni yuko na talent
Sijui nani aniibie kile kifaa cha kuchungulia ukeni
Uswahili Tu ! Muacheni afanye kazi
Mwacheni Apige kazi mahospitari ya serkari galama hatuwezi.
Walio sikia vesicle spectrum naomba like zangu 😂😂😂
Msaidien ako natalent akii😅😅😅
Wamemchomekea TU watu wenye roho mbaua
Huyu serikali wamsaidie sio wamfunge kwakweli anasaidi serikali yetu viongozi walivyokuwa na roho mbaya watamuweka ndani baada ya kufanya asaidie watu
Serikar yetu unakuta wanamkamata huyo af ilo eneo halina hospital
Watu wametoka sehemu za mbali inamaana huyo anaweza kufanya kazi huyo mganga mkuu ni wivu watu hawaendi hosptal zao serikali huyo asaidiwe
😂😂😂😂😂😂mzee baba kajikaza sana..
Vifaa vyote anavyo😂😂😂alinunua pharmacy😂😂😂na kajipanga hatari😂😂
Kwani umejuaje kama amemtoa mimba
Nyinyi aibu tu
Jamaa hodari
Blabla nyingi kwa chuki
Kwani huyo anaemhoji ni mhukumu au! Atulize mshono sheria ifate mkondo wake.
Mpeni heshima yake huyo ni mwokozi
Mmejuaje km n vifaa vys kutolea mimba
Huyu asaidiwe kabisa hata eliminate
Jamani ndio kafanya makosa kwa kufanya kitu bila utaratibu lakini uyu mtu anaonyesha anauzoefu na mtaalamu na anasaidia watu. Mpeni elimu aendeleze ki paji chake kwenye iyo kazi .mmekalia vyeti tu na kujaza watu wasio na uzoefu wowote wa kazi , huyu mtu ni muhimù katika jamii tafadhali mpeni mafunzo na muendelezeni ana kipaji atasaidia baadae uko .ndio maana kuna wakunga wa jadi .sisi watu weusi akisha fundiswa na mzungu basi kamaliza