【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Muacheni tu mbona anatibu watu vizuri miaka 18 mnamkamata leo kweli
Hii ndio bongo bahati mbaya badala aendelezwe kielimu eti anakamatwa
Acheni unafki
Huyo ni bwana mganga sisi tulikuwa nae kule kilosa lakini angechuku kibali cha bwana mganga asingekamatwa mpelekeni shule huyu
Mpeni kubali ilimradi hajaua mtu
Na Ana confidence tu! Mwacheni bhana ajitafutie ugari km haleti madhara kwa nn apate adhabu??
Wewe daktari unayesema alikuwa anatoa mimba, ulimuona akitoa?
Nimependa jinsi anavyo jiamini na kujibu maswali bila uoga
Miaka 18 anafanya hio kaz leo ndo mnamkamata😏
Mtu anayo taaluma ya doctor apewe ajira kwa nini akamatwe Tanzania ya ovyo kweli😢
Huyu nimtaalam sana kwanza anaokoa watu wengi sana huko ludewa chamsingi mpeni elimu zaidi aendelee kuudumia watu cz huyo nizaidi yamadaktari walioko ludewa
Hatupaswi kuwa mahakimu
Huwenda kukamatwa kwake ndo hapo anapotokea.mungu amsaidie
Tanzania tu ukionekana na kipaji unafungwa
Shida selekali haina madaktari wenye wito wa kazi kunamakatili hawajali uhai wa mtu bora tukatibiwe na wasio vibali tunatafuta uponyaji sio vibal
Huyo mtu anatoa tiba nzuri mno asiwaambie mtu .. hospital zetu za serikali hazimfikii ..ni makaratasi tu Hana (vyeti) mwananchi anahitaji tiba sio sheria … siasa mavi za hii nchi.
Huyu jamaa ni mtaalamu mpeni kibali kwa kwa ushahidi wa wagonjwa waliotibiwa nae wamepona ,Sasa mpeni mafunzo kidogo aendelee na shughuli yake acheni roho mbaya.
Duh 🙄 Mwaka wa 18 anahudumia wananchi duh mtihani 😢💔
Je hivo vifaa alivo kuwa anatumia alikuwa anavisafisha? Mnaweza mkaona naukimwi unasambaa Kwa namna hii jaman
Kumbe wananchi wenyewe wamemkubali wanapata nafuu kuliko hata huduma za wandewa 😂😂😂