【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
TOENI MAELEZO YA KUTOSHA JE AMESAIDIA JAMII AU AMEUA WATU WANGAPI? MBONA HATA MJINI HUKU WATU WANACHOMWA SINDANO MITAANI? HUYO JAMAA MPELEKENI AKASOMEE ZAIDI ASAIDIE WATU.
Huyu bro atakua kati ya wale waliotumbuliwa na vyeti feki, ila anaonekana ana uzoefu na anachokifanya so serikali isipoteze watu kama hawa .
Hii ndo shida wa watu weusi! Hivi nani alieturoga??? Tungekua wazungu naamini angepewa kitengo muhimu sana muhimbili pale aendelee kupiga mzigo wakati taratibu zingine zinaendelea, Hii ni hazina muhimu sana kwa jamii, serikali muwezesheni huyo jamaa aweze kusaidia jamii sio kumuweka rokap, hawa ndo wale tinaowaita genius kama anaweza kufanya nzuri namna hiyo na shule mnayotaka ninyi hajaenda… Akienda je??
AFUNGWE MAISHA MAANA ANAHATARISHA MAISHA YA BINADAMU IKIWEMO VIFO
Kiupande wangu hyo amesoma ila ajira ndo ngumu akaamua aanze kuhudumia watu ajipatie chochote! Kumfanyia mtu abortion au kumchoma sindano cyo rahic jmn lazima uingie darasan, Mi namuombea TU msamaa mpeni kibar TU ili aendeleze Kaz yke Kwa mazingira mazur.
Bwana eeeh hebu muendelezeni ili aweze kufikia mbali,huko hospitali za kawaida zenyewe madaktari wengine hawaelewi chochote sa si Bora huyu
Ukichunguza huu ni umbea waonekane wanafanya kazi .. kama mnaweza mkamateni kigogo…
dokita Yuko vizuri apewe ajila
SASA KM WANAPONA KOSA LAKE NI LIPI? MWACHENI AKATOE MALEZO MBELE YA SAFARI. JAMANI AJIRA NI MUHIMU.
WEWE UNASEMA ALIKUWA ANATOA MIMBA UNAUHAKIKA?
Serikali ya kipumbavu hii mtu mzuri muna mkamata
Ww unaye mhoji tumia hekimq
Mganga mkuu ana wivu mpambavu huyo
Saiz ndo mumempa jina na atakuwa na wateja wengi kuzidi na hizi hospital zenu pumbavu zenu
Apewe elimu anasaidi watu na wanakijiji wanamsifu
Huyu jamaa yuko vizuri.kwakuwa anasaidia watu na hajauwa .basi selekari imsaidia kumpa mafunzo ya udocta aendelee kusaidia jamii.
Sasa kama mtu anatibu watu wanapona kwann akamatwe na ajaua?
Umeona hii nchi yangu sasa inavyo warudisha watu nyuma..?😢😢😢
Sasa kama feki angetibu watu wakapona.?sasa mtu kahalibikiwa mimba asisafishwe kizazi kioze afe,nyie vp mbona kama ivo!
Awe certified Kuna daktari hakuwa na taaluma ya vyeti alikuwa anafanyia hospitali ya musoma, na alifanya kama daktari , na amejenga hospitali yake mpaka leo na ana vibali , serikali ijifunze kutoa ushauri na kuwaruhusu wataalamu wasio rasmi hizi kazi za udaktari zinatokana na uzoefu wa kutibu na sio kusomea wote wanabahatisha anaye ponya ni Mungu