【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Gifted hand
Hivi Dr wa kwanza kabisa,alisomea wapi?Huyu inaonyesha alikuwa anafanya kazi yake vizuri. Kuna watu wenye wivu wamemchomea.
Mpeni kibali uko mahospitalini mmekalya unyanyasaji tu kwa wagonjwa
Mpeni kibl tena buree huyuu ameokowa wengii
apewe mauwa yake kabra hajafa
Serikari angalieni upande wapili wa maisha ya watu, nikweli huyu ndugu anakosa la kuudumia wananchi bila kutambuliwa kialali na serika lkn je uduma yake imewadhuru watu au imewapa faraja.msaidieni afikie vigezo vyenu asaidie Jamie ya watanzania wanaoteseka nauaba wamatibabu hapa nchini
Tatiz kibali mbon watu wanatoa shuhuda kwamba wamepona kupitia huyo mtu wakati osipitarin wameshindwa mpeni maua yake huyo jamaa
😂😂😂, mwamba anasema anajitambua nusu
Vitu Sio Sababu Wangapi Walikufa Apo Kwa Uyo Docta Wenda Chuki Za Watu Zisizo Na Faida Wenda Mtu Kakaa Na Chuki Wee Mpaka Akaona Bola Aende Polisi Sema Kutoa Taalifa Ni Jambo Zuli Pia Kwasababu Anatoa Uduma Kwa Wanadamu Nasio Kuni Kavu
Hawa ndo wale wenyewe ilimu na ujuzi Lkn kutokana na kukosa hajira ndo maana wanachukua maamuzi yay kijihajiri wenyewe kwa ajiri ya kusaidia jamii ili nae ajipatie riziki
Mmh Atari sana specialist uyo hahahahhaaa
Mpelekeni shule asome
Achani mambo za aajabu mpeni mafunzo andelee na kazi kuna watu wa vyeti na awana uwezo wa kutibu hizo hospital zeyewe ndo azieleweki
Tatzo Tz tunaangalia cheti hatuangaliii uhodari na kipaji cha mtu ili aendelezwe
Huku ulaya mtu kama huyo anafungwa gereza ambapo humo anaoatıwa koz maalum ya kaz hızo kısha akımaliza kifungo chake anapatiwa chet na kuendelea na kaz hıyoo,,, ındapo kama atagundulıka kuwa anakaujuz kidogo.
Maoni yangu ;
Huyu jamaa afunge kifungo cha kufanya kıty kınyume na taratınu lkn huko kıfungonı apewe mafunzo zaıd ya nursing maana anaaidia .
😢😢😢 sasa wakiumwa naniawasaidia na Doctor wao kaswekwa rumande sasa mleteni huyu mweye Vyeti😂😂😂
Kama majaliwa alipewa mafunzo na ajira ya Jeshi baada ya kutoa msaada wa kijesgi, kwanni huyu asipewe mafunzo ya udaktari akaajiriwa kwa kazi hiyo?
Kaona achangamkie fursa.🤣🤣🤣
Jamani serikali imuachie kaziiendelee
Kumbe ameokoa maisha ya watu! Lakin alitakiwa afuate sheria…huko mbele watajua wamsamehe au apewe adhabu ndogo ili iwe fundisho…nimuhimu kufuata sheria…
Jamaaa yuko smart sana…amewambia twendeni polis ntaeleza ukweri basi