【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Hiv ndo mnavyojua kutaftia kiki lkn lipot ya CAG Sasa😂😂
Hapo Bado tu serkal hamjifnz?Tanzania tatizo mnatanguliza vyeti wakati mnajua kabisa wenye vyeti hawana huwezo wenye uwezo hawana vyeti ndo maan Eisten aliwahi kusema Kuna tofaut kati ya elimu na akili
Kuna mwingine alikamatwa huko kenya na alishazalisha wanawake zaidi ya 15 bila madhara yoyote Rais akaagiza apelekwe chuoni saa hizi yupo anaendelea na masomo
Jomon kuna watu wamemchomesha wanalohoo mbaya tena unaweza wanaume wenzie jomoni🤨
Yuko sawa wanamuhoji hoji ovyoovyo …naunavyo wahi kwamba katoa mimba
jamaa chaajabu anatibu watu wanapona mpeni kibali tuu
Wakiulizwa kuhusu ajira wanasema watu wajiajiri,
Na tukijiajiri tunatafutiwa madhaifu ili tusiwe na ajira,
Tusiangalie mabaya tu ila kama wagonjwa wametoa ushuhuda kama matatuzo yao yalishindikana hospitali na yeye kayaweza mpeni mtaji afungue kituo chake
Dah😢 nisiseme kitu bro pole.. binadamu bna aya bna but ….
mkimfunga mr Mohamerd serekali otakuwa ina watu inawaogopa n docta mzur atujawai kuona so mpeni elimu then mumuweke huru
Pole bro binadam washenz sana
SAWA,YUPO BILA KIBALI….
-USHAURI: MSAIDIENI,AKUZE ,”KIPAJI” CHAKE…
-MSIMNYIME….
Yuko vizuri huyo kuliko hata hawa madaktari wetu wa mahospitalini ,,apewe kazi
Mmnataka watu waji ajiri baba wawatu kaji ajiri na anauzowefu mzuri mna mkamata my Tanzania my country Why ????? Apewe kibali na badhi ya mafunzo achapekazi acheni kukandamiza watu
Kama watu wanapona hakuna haja ya kumfunga, kwa maelezo ya huyo mwamba mmoja hapo anasema alikuwa analala tu , ikonda walishindwa na wakamwambia hata akienda mwimbili hakuna jipya litakalo fanyika ,kaenda huko amepata nafuu!!! Sasa kunahaja gani ya kumfunga ?? Huyo apewe onyo na kama kasoma kweli asajiliee na atambulikane kabisaa na apewe msaada zaidi. Ila kama alikuwa anahusika na kutoa mimba watu hapo Sasa anakesi ya kujibu🤣
APELEKWE SHULE AKAONGEZEWE ELIMU APEWE NA VYETI AENDELEE KUTOA HUDUMA,
huu wote ni ukosefu wa ajira mpeni ajira kwa mafunzo aliyopata kwani angekua na ajira angeyafanya ayo
Histoshe jamaa hana ata wasiwasi anajiamini tu
“Mackenzie”
Kamaanatibu vizuri mpenikibali huyo ni mtaalamu kabisa
Kumbe Hadi ametibu watu wengi namna hiyo pengine kakuzid had we unajidai kutuelezea mi natamani awe na hospital tuu