【視聴数 42518】
【チャンネル名 Wasafi Media】
【タグ wasafi,diamondplatnumz,mbosso,lavalava,harmonize,rayvanny,magufuli,alikiba,makonda,zuchu,ccm,chadema,uchaguzi,mgahawa,the switch,sports arena,sports court,wasafi tv,wasafi fm,good morning,the story book,block 89,bongo chap chap,sunday worship,refresh,millard ayo,live,diamond platnumz,wasafi media,serikali,bungeni,bunge,trending,wizkid,davido,tiwa savage,burna boy,yope,yope remix,lavi davi,DAKTARI FEKI ANASWA,DAKTARI FEKI ANASWA LUDEWA】
Hospitali zaserikali madocta zarau nyingi alafu amtibu vizuri tatizo la miguu mnapasua kichwa
Mleteni Kiberashi watu watatu aliowafanyia upasuaji wa TEZI DUME na mkojo kutoka kwa shida wamefariki dunia. Huku Kiberashi amedai kasomea Marekani leo huko anasema kasomea Redcross tushike lipi.
Watanzania msiwe wajinga regulators wanajua haja ya ku comply na taratibu za kitabibu hapimi pressure, hana wasaidizi hana umeme anatumia nyembe za shs 100 na 200 sio surgical blades anapasua hata watu 6 kwa siku bei zake ni 300,000 kwa kichwa . Ulizeni Kiberashi Kilindi Tanga anatembelea wilaya ambazo ziko nyuma sana kwenye huduma za afya. Watoaji nyuzi wake za mishono ni wakulima anawalipa deiwaka. Mleteni huku ana tuhuma za kujibu. Hana wasaidizi kwenye upasuaji Kuna wakati anamuomba mteja MWENYEWE amsaidie kushilikilia na kuzuia mshipa unaotoa damu wakati wa upasuaji.
Mpeni kazi tu
ttz hap ziko mbaliiiiiiiiiiii hlf akimaliza adhab afungue sehem yake salama
hospitli gan za serikali azina tiba uyu bwana mimi namjuwa mda aliniponya ugonjwa niliozunguka mpak nairobi mama ummiy mwalimu mfikirie mrMohamedy
Kama watu wanapona serikali msaidieni apate kibali asaidie watu😮
Acheni kuona madhaifu fikilieni vizuri mgetoa ajila yasingetokea hayo.
Huyu jamaa anafanya kazi sahihi kwenye mazingira yasiyo sahihi ila ushuhuda upo he is good man
Pia amenyooka maan makosa mengine hata waajiriwa wanafanya..
Tanzania ndio nchi pekee ya ajabu duniani wananchi wanashangilia upumbavu mtu anatoa mimba wanasema kipaji asaidiwe na si kazi yake driver taxi anang’oa watu meno na koleo wanasema kipaji udaktari si mpira wa miguu lazima usome na pia uwe na asili ya kuipenda kazi hiyo toka utotoni.
Huyu jamaa yupo vizuri,kosa lake Hana vyeti tu hivyo wamuweze apate vyeti sio kumfungulia mashtaka , waafrica tutazidi kuwa watumwa hatujali wabunifu, mwamba Ana kipaji.
Dokta huyu peponi ….Mimi nimekuelewa serikali mjitadhimini sana
😅😅😅 mmemuelewa wenzagu 😂😂😂 sipo powa
Jamaa anajua bwana mpeni haki yake
Huyu anaweza kuwa Ana elimu ndogo saana ya hayo mambo ila Ana kipaji ndani yake.watu kama hawa kwenye nchi za wenzetu wanaendelezwa kwa faida za wananchi.ila huku ataenda magereza.
Huyu anatakiwa aajiriwe sio mkamfunge sababu katika maelezo yao wagonjwa wake hakuna alietoa ripoti km kunamgonjwa alishawai kufa Mpelekeni muhimbili akqfanye kazi huyo amezaliwa na kipaji chake sio npaka akqsomee
Mpeni maua yake
Hapa kuna mgongano wa ki maslahi ( conflict of interest ) uzoefu haupo kwenye vyetu bali upo ground na ndo maana halisi ya wasomi kuenda field. Apewe vyeti
Jamani mwacheni asaidie watu
Serikali ifikirie ni namna gani inaweza msaidia atoe huduma bora na sio kumpeleka jela
Uyo itakua kuna watu wamemuonea wivu anapata wateja
Wakaamua kumletea polisi, 😂😂